BIOGRAPHY

4:11 AM Unknown 0 Comments



                                                                                  MC Eddy 


Edwin Godian ni Professional Event Host (MC) anayejulikana kwa jina la MC Eddy akiwa na uzoefu wa kuifanya kazi hii ya Umc kwa zaidi ya miaka 5 sasa akiwa muongozaji na msimamiaji wa matukio mbalimbali yakiwemo matukio ya Mashirika mbalimbali,Matamasha na matukio ya watu binafsi kama vile Harusi,Sendoff n.k........

MC Eddy aliamua kuifata ndoto yake ya kuwa MC na Mtangazaji wa TV na Redio kwani ndio vipawa(talents) alivyopewa na Mungu na kwa kulijua hilo aliamua kusoma masomo ya uandishi wa habari pamoja na utangazaji katika chuo cha DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM (DSJ)  kilichopo Ilala jijini Dar es salaam.

 Kutokana na upatikanaji wa ajira pamoja na uhuru wa mtu kuhakikisha analitumikia kusudi lake hapa Duniani kwa kufanya vitu vya ndoto yake MC Eddy aliamua kujiajiri yeye mwenyewe na kufanikiwa kuanzisha MEDIA ya kwenye mtandao inayorusha matukio mbalimbali ya vijana wa Kikristo inayojulikana kama CALVARY YOUTH MEDIA ikiwa ni safari ya kuanzisha vipindi mbalimbali vya TV ili kuhamasisha na kuwaelimisha vijana,................MC Eddy ni Mwamini(BELIEVER) anayemwamini Mungu katika kila jambo!...."MUNGU NDIYE KIMBILIO LANGU,BILA YEYE MIMI SI KITU"....Amesema MC.

Pia MC Eddy ni mjasiliamali anayefanya biashara mbalimbali tofauti na kazi yake ya Umc.















0 comments:

Contact Us

Name

Email *

Message *